Taarifa

Tazama zote

MJI WA MWANZA

Imetungwa nabozkathi oberlin, 18 Julai 2016, 04:37 asubuhi

Mji wa Mwanza ni kati ya miji ya kuvutia Tanzania, unajulikana sana kama mji wa miamba "Rocky City". Hali ya hewa yake ni nzuri na ya kuvutia sana. Miji umetulia ukilinganisha na jiji la dar es salaam. Tangu nimekuja Mwanza nimeupenda sana mji wa Mwanza.

Picha ya bozkathi oberlin

bozkathi oberlin

Kuhusu mimi

A brilliant young entrepreneur with constant source of new business ideas and energy.