Notificaciones

Ver todo

MJI WA MWANZA

por bozkathi oberlin, 18 julio 2016, 04:37 a.m.

Mji wa Mwanza ni kati ya miji ya kuvutia Tanzania, unajulikana sana kama mji wa miamba "Rocky City". Hali ya hewa yake ni nzuri na ya kuvutia sana. Miji umetulia ukilinganisha na jiji la dar es salaam. Tangu nimekuja Mwanza nimeupenda sana mji wa Mwanza.

Foto de bozkathi oberlin

bozkathi oberlin

Acerca de Mí

A brilliant young entrepreneur with constant source of new business ideas and energy.