Taarifa

Tazama zote

MAFUNZO YA AWALI-MWANZA

Hadithi hii imetungwa na bozkathi oberlin katika Ajira, 21 Julai 2016, 03:09 asubuhi

Mwanza tumeanza mafunzo ya awali kwa wanafunzi wa awamu ya kwanza. Wanafunzi wamependa sana mafunzo haya.kwa sasa tumemaliza moduli ya 3, wiki ijayo tutaanza moduli nyingine. Pichani ni washiriki na wakufuzi (Naomi, Anisha na Bozkathi wakielezea somo la ujasiriamali)

Picha ya bozkathi oberlin

bozkathi oberlin

Kuhusu mimi

A brilliant young entrepreneur with constant source of new business ideas and energy.