Notifications

View All

MAFUNZO YA AWALI-MWANZA

by bozkathi oberlin in Employment, 21 July 2016, 03:09 AM

Mwanza tumeanza mafunzo ya awali kwa wanafunzi wa awamu ya kwanza. Wanafunzi wamependa sana mafunzo haya.kwa sasa tumemaliza moduli ya 3, wiki ijayo tutaanza moduli nyingine. Pichani ni washiriki na wakufuzi (Naomi, Anisha na Bozkathi wakielezea somo la ujasiriamali)

Photo of bozkathi oberlin

bozkathi oberlin

About Me

A brilliant young entrepreneur with constant source of new business ideas and energy.